Maria Nyerere anavyomkumbuka Winnie Mandela

Maelezo ya video, Maria Nyerere anavyomkumbuka Winnie Mandela

Mama wa Taifa wa zamani wa Tanzania, Maria Nyerere anaelezea jinsi alivyomfahamu,Winne Madikizela Mandela wakati Mandela alipokuwa korokoroni.