Mavazi ambayo yametengenezwa kwa kutumia mipira ya kinga yaani Kondomu
Nchini DRC mjini Kinshasa, kuna mwanadada mmoja mbunifu wa mavazi ambaye sasa ametengeneza mavazi kwa kutumia mipira ya kinga yaani Kondomu.
Lengo lake ni kuelimisha jamii juu ya Virusi vya UKIMWI kwa kuwa bado jamii haiko tayari kuzungumzia matumizi ya Kondomu.
Mwandishi wa BBC,Mbelechi Msochi alikutana na msichana huyu na hii hapa ni taarifa yake.