Rais mpya wa Zimbabwe avunja baraza la mawaziri
Kuna taarifa kuwa rais Emmerson Mnangagwa amevunja baraza la mawaziri kwa kile kinachotajwa kuanza kuunda serikali anayoitaka.Na moja kwa moja naungana na mwenzetu Omar Mutasa akiwa Harare nchini Zimbabwe.