Mbunifu wa mtambo wa Umeme asiyekuwa na elimu nchini Tanzania
Ukosefu wa nishati ya umeme katika baadhi ya maeneo ya nchi zinazoendelea ni suala ambalo limezoeleka na Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoathirika na tatizo hili haswa katika maeneo ya vijijini.
John Mwafute almaarufu Mzee Pwagu,mbunifu aliyeshia darasa la 7 ambaye aliamua kuwa mzalishaji wa umeme kwa kutengeneza mtambo wake binafsi na kusambaza kwenye vijiji vinanavyomzunguka katika mkoa wa Njombe na lilondo ,mkoa wa Ruvuma.
Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo
Video: Eagan Salla