Ruto: Tuko tayari kuzungumza na Odinga

Maelezo ya video, Ruto: Tuko tayari kuzungumza na Odinga

Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa chama cha Jubilee kiko tayari kufanya kikao na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, ili nchi iweze kusonga mbele baada ya uchaguzi wa marudio uliokumbwa na utata.