Maandamano kushutumu al-Shabab Mogadishu, Somalia
Wakazi waliandamana mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kushutumu shambulio la Jumamosi lililosababisha vifo vya watu zaidi ya 300.