Wanawake 100: Faraja Nyalandu ni mwanzilishi wa taasisi inayotoa huduma ya elimu kupitia mtandao

Maelezo ya video, Faraja Nyarandu

Faraja Nyalandu ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa Shule Direct, taasisi inayotoa huduma ya elimu kupitia mtandao na simu.

Anasema wazo hili lilianzia na mapenzi yake wa kuona mabadiliko katika jamii yake.