Joyce Shujaa ni mwalimu mlemavu nchini Tanzania,anayefundisha akiwa amelala kitandani

Maelezo ya video, Joyce Shujaa

Kama lilivyo jina lake, Joyce Shujaa ni mwalimu shujaa mlemavu nchini Tanzania anayefundisha akiwa amelala kitandani.

Baada ya kupata ajali na kushindwa kutembea, alitumia fursa ya ukarimu wake kwa watoto na sasa anafundisha watoto wadogo katika chumba kidogo nyumbani kwake.

David Nkya alimtembelea na kuandaa taarifa ifuatayo.