Mataifa ya India na Pakistan yalivyoundwa

Maelezo ya video, Mataifa ya India na Pakistan yalivyoundwa

Mataifa ya India na Pakistan yanasherehekea miaka 70 tangu kujipatia uhuru. Lakini wajua mataifa haya yalikuwa nchi moja kabla ya uhuru?

Kugawanywa kwa nchi hizo kulizaa mataifa mawili ambayo yamekuwa yakizozana kwa muda mrefu.