Wapiga kura waliolala katika vituo vya kupigia kura Kenya
Baadhi ya wapiga kura katika kituo cha Shule ya msingi ya Moi Avenue jijini Nairobi walionelea heri kulala vituoni badala ya kujipanga kuamka asubuhi na mapema.
Vituo vilikuwa vinafunguliwa saa kumi na mbili lakini baadhi walifika saa moja jioni Jumatatu na kukesha.