Odinga: Natarajia kupata ushindi mkubwa Kenya
Raila Odinga anawania urais kwa mara ya nne nchini Kenya katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumanne tarehe 8 Agosti.
Anashindana na Rais Uhuru Kenyatta ambaye alimshinda uchaguzi wa mwaka 2013.
Wakati huu Bw Odinga amesema anatarajia kupata ushindi mkubwa.
Amezungumza na mwandishi wa BBC Ferdinand Omondi.
