Habari za Global Newsbeat 1500 03/08/2017
Muuguzi mmoja raia wa Australia amekutwa na hatia kwa kuendesha biashara ambayo inakatazwa nchini Cambodia ya mwanamke kubebewa ujauzito na mwanamke mwingine. Tammy Davis-Charles amehukumiwa na mahakama ya nchi hiyo, kifungo cha miezi 18 gerezani.
Je, ni vibaya kumsaidia mwanamke mwengine kubeba ujauzito?
Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com