Wanawake watano maarufu wa Afrika waliokuwa wakimbizi

Maelezo ya video, Wanawake watano maarufu wa Afrika waliokuwa wakimbizi

Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani. Je, wajua baadhi ya wanawake maarufu kutoka Afrika waliwahi kuwa wakimbizi wakati mmoja?

Hawa hapa ni watano kati yao ambao unafaa kuwafahamu.