Habari za Global Newsbeat 1000 7/06/2017
Mshambuliaji wa Sunderland, Jermain Defoe ametangaza anaelekea zake Bournemouth lakini asema kabla hajaondoka anataka kuutumia muda mwingi kukaa na mtoto Bradley Lowery ambaye kutokana na kusumbuliwa na saratani, wazazi wa mtoto huyo wamesema ana siku chache za kuishi.
Je, ni jinsi gani za kuwatunza watoto ambao wanaugua saratani?
Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com