Wabunifu wa Kiislamu wavumisha mavazi ya stara Tanzania
Siku chache tu kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baadhi ya Wanawake wa Kiislamu nchini Tanzania wameungana na kuaandaa tamasha maalum kuhamasisha ujasiriamali na uvaaji stara kwa njia za kisasa zaidi.
Mwandishi wa BBC Munira Hussein alitembelea tamasha hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.