Kanisa la kipekee la wasioweza kusikia Tanzania
Nchini Tanzania takwimu za serikali zinaonesha kuwa watu wasiosikia zaidi ya laki sita, Lugha ya ishara ndio njia ya masiliano kwa wao.
Kutotumika lugha hiyo ya ishara katika taasisi mbalimbali imewafanya viziwi kujiona wanatengwa na hivyo kuamua kuanzisha kanisa lao.
Mwandishi Humphrey Mgonja alihudhuria ibada na kutuandalia taarifa hii.