Mtoto amvua kofia Papa Francis

Maelezo ya video, Mtoto amvua kofia Papa Francis

Msichana wa umri wa miaka mitatu alivua kofia ya Papa Francis kiongozi huyo wa kidini alipokuwa anawabariki watoto St Peter's Square nchini Vatican.