Serikali yapiga marufuku viroba Tanzania
Tanzania imeanza kutekeleza agizo la serikali la kupiga marufuku pombe aina ya viroba.
Mwandishi wetu Shemdoe aliyeko huko mjini Arusha amezungumza na baadhi ya vijana ambao walikuwa wakitumia pombe hiyo iliyo katika viroba na kutaka kujua mitazamo yao