Angelina Jolie alivyowala buibui Cambodia

Maelezo ya video, Angelina Jolie alivyokula buibui Cambodia

Mwigizaji mashuhuri wa filamu Angelina Jolie alipozuru Cambodia, alihakikisha kwamba ameonja chakula kinachopendwa sana na wakazi – buibui aina ya tarantula.