Mwezi wa barafu wafurahisha walimwengu

Mwezi huo mzima wa mwezi Februari pia unajri wakati wa kupatwa kwa jua

Mwezi uliokamilika unaonekana mnamo mwezi Februari ,karibu na mji wa Orlando nchini Marekani .Mwezi huo huitwa mwezi wa barafu Marekani kwa kuwa ni wakati wa barafu nchini humo

Chanzo cha picha, AFP/Getty

Maelezo ya picha, Mwezi uliokamilika unaonekana mnamo mwezi Februari ,karibu na mji wa Orlando nchini Marekani .Mwezi huo huitwa mwezi wa barafu Marekani kwa kuwa ni wakati wa barafu nchini humo
Mwezi huo wa barafu unajiri wakati wa kupatwa kwa mwezi unapopitia katika kivulivuli cha dunia kama inavyoonekana hapa mjini Lahore nchini Pakistan.

Chanzo cha picha, AP

Maelezo ya picha, Mwezi huo wa barafu unajiri wakati wa kupatwa kwa mwezi unapopitia katika kivulivuli cha dunia kama inavyoonekana hapa mjini Lahore nchini Pakistan.
Mwezi uko kivulini kama unavyoonekana hapa katika mji wa Michoacan kwa sababu dunia ipo kati ya jua na mwezi

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mwezi uko kivulini kama unavyoonekana hapa katika mji wa Michoacan kwa sababu dunia ipo kati ya jua na mwezi
Mwaka huu kupatwa kwa mwezi kuko tofauti kwa kuwa uso wa mwezi ulipitia kivuli cha dunia na hivyo basi kuufanya kuonekana mweusi zaidi ya kama unavyoonekana nchini Lithuania

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mwaka huu kupatwa kwa mwezi kuko tofauti kwa kuwa uso wa mwezi ulipitia kivuli cha dunia na hivyo basi kuufanya kuonekana mweusi zaidi ya kama unavyoonekana nchini Lithuania
Mwezi huo wa barafu ulionekana wakati rais Donald Trump ,mkewe Melania ,waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe na mkewe walipowasili katika ufukwe wa bahari wa West Palm Beach huko mjini Florida

Chanzo cha picha, AP

Maelezo ya picha, Mwezi huo wa barafu ulionekana wakati rais Donald Trump ,mkewe Melania ,waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe na mkewe walipowasili katika ufukwe wa bahari wa West Palm Beach huko mjini Florida
Mwezi wa barafu wanaokenaa nyuma ya miti nje ya mji wa Kuala Lumpur mjini Malaysia

Chanzo cha picha, AFP/Getty

Maelezo ya picha, Mwezi wa barafu wanaokenaa nyuma ya miti nje ya mji wa Kuala Lumpur mjini Malaysia
Jina la mwezi wa barafu linatoka katika tamaduni za Marekani. unaonekana hapa katika jimbo la Kansas

Chanzo cha picha, AP

Maelezo ya picha, Jina la mwezi wa barafu linatoka katika tamaduni za Marekani. Unaonekana hapa katika jimbo la Kansas