Wanafunzi wenye ndoto kuu kimuziki Tanzania
The Brothers Band ni kundi chipukizi la muziki linalojumuisha wanafunzi wawili wa moja ya vyuo vikuu nchini Tanzania.
Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa alipotembelea mji wa Mwanza alifanya mazungumzo na vijana hao wenye ndoto za kuboresha muziki wao kupitia elimu wanayoipata.