Michael Lukindo: Mitandao ya kijamii Tanzania yawa chanzo cha habari

Maelezo ya sauti, Michael Lukindo: Mitandao ya kijamii Tanzania yawa chanzo cha habari

Miaka ya hivi karibuni sekta ya habari nchini Tanzania imeathiriwa mno na ukuaji wa teknolojia ya digitali, mitandao ya kijamii imekuwa na kasi kubwa sana kupeleka taarifa kuliko redio,bila ya kuzingatia maadili ya taaluma ya habari.