Waandamanaji wateketeza Limousine Marekani wakimpinga Trump

Maelezo ya video, Waandamanaji wateketeza Limousine Marekani wakimpinga Trump

Waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais mpya Donald Trump waliharibu mali na hata kuchoma gari la kifahari wakati wa maandamano hayo Washington DC.