Kwa Picha: Sherehe ya kuapishwa kwa Donald Trump

Mamia ya maelfu ya raia wahudhuria kuonyesha umoja wao na wengine wakipinga huku Donald Trump akiapishwa kuwa rais wa Marekani.

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama akipunga mkono kusema kwaheri wakati alipoingia katika ndege na kuondoka, huku Donald Trump na mkewe wakirudi katika jengo la Capitol Hill

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama akipunga mkono kusema kwaheri wakati alipoingia katika ndege na kuondoka, huku Donald Trump na mkewe wakirudi katika jengo la Capitol Hill
Rais Donald Trump kushoto na rais wa zamani Barrack Obama wakiwa na wake zao nyuma yao, wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa taifa

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Rais Donald Trump kushoto na rais wa zamani Barrack Obama wakiwa na wake zao nyuma yao, wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa taifa
Jackie Evancho, mshiriki wa shindano la Got Talent ndiye aliyeimba wimbo wa taifa wa Marekani katika sherehe hizo

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Jackie Evancho, mshiriki wa shindano la Got Talent ndiye aliyeimba wimbo wa taifa wa Marekani katika sherehe hizo
Raia wa Marekani waliofurahia kuapishwa kwa Donald Trump wakiwa wamevalia nguo za bendera ya Marekani

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Raia wa Marekani waliofurahia kuapishwa kwa Donald Trump wakiwa wamevalia nguo za bendera ya Marekani
Rais Trump akipongezwa na familia yake baada ya kula kiapo huku aliyekuwa rais Obama na mkewe wakitazama

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Rais Trump akipongezwa na familia yake baada ya kula kiapo huku aliyekuwa rais Obama na mkewe wakitazama
Donald Trump baada ya kuapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Donald Trump baada ya kuapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani
Makamu wa rais Mike Pence akiapishwa huku mkewe Karen Pence akimuangalia

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Makamu wa rais Mike Pence akiapishwa huku mkewe Karen Pence akimuangalia
Hillary Clinton, ambaye alishindwa na Donald Trump, akimnong;onezea kwa masikio yake aliyekuwa rais wa zamani George Bush kabla ya kuapishwa kwa Trump

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Hillary Clinton, ambaye alishindwa na Donald Trump, akimnong;onezea kwa masikio yake aliyekuwa rais wa zamani George Bush kabla ya kuapishwa kwa Trump
Vyombo vya habari vyajianda kabla ya kuanza kwa sherehe ya kumuapisha Donald Trump katika mvua

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Vyombo vya habari vyajianda kabla ya kuanza kwa sherehe ya kumuapisha Donald Trump katika mvua
Waandamanji wanaompiga Donald Trump wakongamana karibu na eneo linalokaribia lango la kuingia eneo la capitol hill

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Waandamanji wanaompiga Donald Trump wakongamana karibu na eneo linalokaribia lango la kuingia eneo la capitol hill
Msafara uliombeba Barrack Obama na Donald Trump waingia katika barabara ya Pennsylvania kuelekea Capitol hill kwa sherehe ya kuapishwa kwa Trump

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Msafara uliombeba Barrack Obama na Donald Trump waingia katika barabara ya Pennsylvania kuelekea Capitol hill kwa sherehe ya kuapishwa kwa Trump
Ni tabasamu kwa wapiga picha wakati ambapo Barrack Obama na Michelle wanamkaribisha Donald Trump na Melania Trump katika ikulu ya Whitehouse kwa chai asubuhi ya siku yakuapishwa.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Ni tabasamu kwa wapiga picha wakati ambapo Barrack Obama na Michelle wanamkaribisha Donald Trump na Melania Trump katika ikulu ya Whitehouse kwa chai asubuhi ya siku yakuapishwa.
Watazamaji wakongaman karibu na Capitol hill licha ya baridi na mvua ili kushuhudia kuapishwa kwa rais Trump

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Watazamaji wakongaman karibu na Capitol hill licha ya baridi na mvua ili kushuhudia kuapishwa kwa rais Trump
Barack Obama akiondoka katika ikulu ya Whitehouse kwa mara ya mwisho akikamilisha utawala wake wa kipindi cha miaka minane kama rais wa Marekani.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Barack Obama akiondoka katika ikulu ya Whitehouse kwa mara ya mwisho akikamilisha utawala wake wa kipindi cha miaka minane kama rais wa Marekani.
Kwa wengine ilikuwa furaha isio kifani na ukumbusho wa ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi uliopita dhidi ya Hillary Clinton

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kwa wengine ilikuwa furaha isio kifani na ukumbusho wa ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi uliopita dhidi ya Hillary Clinton
Lakini maelfu ya waandamani walihudhuria kuonyesha hasira zao wakisema ''sio rais wangu''

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Lakini maelfu ya waandamani walihudhuria kuonyesha hasira zao wakisema ''sio rais wangu''
Waandamanji walijaribu kufunga njia kuingia katika eneo la Capitol ambapo rais Trump aliapishwa raasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Waandamanji walijaribu kufunga njia kuingia katika eneo la Capitol ambapo rais Trump aliapishwa raasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani