Kwa Picha: Kenya yapokea mabehewa mapya ya treni

Serikali ya Kenya imepokea rasmi kundi la kwanza la mabahewa yatakayotumika katika reli mpya ya kisasa maarufu SGR.

Wazir wa uchukuzi James Macharia anasema kuwa safari ya reli mpya ya SGR inatarajiwa kufanyika tarehe 31 mwezi Mei kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Maelezo ya picha, Waziri wa uchukuzi James Macharia anasema kuwa safari ya reli mpya ya SGR inatarajiwa kufanyika tarehe 31 mwezi Mei kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Takriban mabehewa 56 yanatarajiwa.Mabehewa hayo yatafanyiwa majaribio kabla ya uzinduzi wake.
Maelezo ya picha, Takriban mabehewa 56 yanatarajiwa.Mabehewa hayo yatafanyiwa majaribio kabla ya uzinduzi wake.
Ujenzi wa mradi huo wa barabara mpya ya reli utakamilishwa miezi 18 mapema kabla ya muda uliopangwa.
Maelezo ya picha, Ujenzi wa mradi huo wa barabara mpya ya reli utakamilishwa miezi 18 mapema kabla ya muda uliopangwa.
Injini ya mabahewa mapya ya treni yaliowasili katika bandari ya Mombasa nchini Kenya
Maelezo ya picha, Injini ya mabahewa mapya ya treni yaliowasili katika bandari ya Mombasa nchini Kenya
Mmoja wa madereva wa treni mpya ya Kenya akiendesha mojawapo ya mabehewa yaliowasili
Maelezo ya picha, Mmoja wa madereva wa mabahewa yaliowasili bandarini Mombasa akiendesha mojawapo ya mabehewa hayo
Baadhi ya watumbizaji waliowasili katika bandari ya Mombasa kulaki mabehewa ya treni yaliowasili
Maelezo ya picha, Baadhi ya watumbizaji waliowasili katika bandari ya Mombasa kulaki mabehewa ya treni yaliyowasili
Behewa la treni lenye maandishi ya kuunganisha mataifa na maendeleo
Maelezo ya picha, Behewa la treni lenye maandishi ya kuunganisha mataifa na maendeleo
Barabara mpya ya SGR nchini Kenya inayoendelea kujengwa
Maelezo ya picha, Barabara mpya ya SGR nchini Kenya inayoendelea kujengwa