Unafanya nini kumjenga mwanamke Tanzania?

Maelezo ya sauti, Unafanya nini kumjenga mwanamke Tanzania?

Haba na Haba imefanya mdahalo jijini Arusha nchini Tanzania ukiwa na mada ya kumwezesha mwanamke katika jamii.

Tunakuuliza, je unafanya nini kumjenga mwanamke shupavu wa kesho?