Kwa picha: Mwezi mkubwa waangaza kote duniani

Watazamaji wa anga kote duniani wameungana katika maeneo maarufu , katika fukwe na juu ya majumba marefu ili kuutizama mwezi huo

Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mwezi umeonekana Boudhanath stupa mjini Kathmandu, Nepal
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, AP

Maelezo ya picha, Ndege ikipita karibu na mwanga wa mwezi huo- umeonekana Beijing, China
Watu wakiutazama mwezi

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Raia wa Cambodians wakongamana kando ya mto karibu na jumba la kifahari katika mji mkuu wa Phnom Penh, Cambodia
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mwezi huo umeangaza juu ya chombo cha angani cha Soyuz MS katika kituo cha Baikonur cosmodrome huko Kazakhstan
Mwezi mkubwa
Maelezo ya picha, Watu walikusanyika katika fukwe za Bondi huko Sydney kuoona mwezi huo lakini waliachwa na hasira pale wingu kubwa lilipoziba mwezi huo
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Kaskazini mwa Marekani walikuwa na nafasi ya kuuona mwezi huo katika hali halisi
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Watu katika fukwe wakiutizama mwezi ukichomoza huko Chennai, India
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mwezi mkubwa ulisababisha mawimbi makali na makubwa kuliko kawaida, mjini Cape Town, Afrika Kusini
Mwezi mkubwa

Chanzo cha picha, AP

Maelezo ya picha, Mwezi mkubwa ukichomoza katika bandari ya Victoria, Hong Kong