Nyoka apatikana kwenye ndege Mexico

Maelezo ya video, Nyoka apatikana kwenye ndege Mexico

Abiria katika ndege moja nchini Mexico walishangaa kumpata 'abiria' asiye wa kawaida – Nyoka!

Baada ya kugunduliwa kwake, ndege hiyo ya Aeromexico iliruhusiwa kutua upesi Mexico City.