Je, rushwa katika soko la ajira Tanzania imekuathiri?

Maelezo ya sauti, Je, rushwa katika soko la ajira Tanzania imekuathiri?

Rushwa katika soko la ajira imeonekana kuchukua nafasi kubwa nchini Tanzania.

Leo katika Haba na Haba tunahoji, Ni kwa namna gani rushwa imekuathiri wakati wa kutafuta ajira?