Biashara bandarini Dar es Salaam yadorora
Bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania ambayo imekuwa tegemeo kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, kwa sasa inadaiwa kudorora baada ya kiwango cha mizigo kudaiwa kupungua kwa kasi katika bandari hiyo.
Mamlaka mbali mbali za bandari nchini humo kwa sasa zinatafuta mbinu za kuinusuru bandari hiyo
Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa anaeleza zaidi.