Waandamanaji wachoma majengo ya bunge Gabon

Maelezo ya sauti, Waandamanaji wachoma majengo ya bunge Gabon

Wapinzani nchini Gabon wamechoma moto jengo la bunge la nchi hiyo baada ya Rais Ali Bongo kutangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi wa Rais Uliofanyika siku ya Jumamosi dhidi ya mpinzani wake mkuu Jean ping.

Halima Nyanza anaarifu zaidi.