Takwimu zinaonyesha kuwa uchumi wa Nigeria umeshuka kwa asilimia 2
Takwimu zilizotolewa kuhusu pato la ndani la taifa (GDP)zinaonyesha kuwa taifa hilo lenye uchumi mkubwa barani Afrika kilishuka kwa zaidi ya asilimia 2% katika robo ya pili ya mwaka huu.