Chabusiku, jambazi aliyebadilika na kuwa mchungaji DRC

Maelezo ya sauti, Chabusiku, jambazi aliyebadilika na kuwa mchungaji DRC

Pasta Ushindi almaarufu kama Chabusiku, ambaye baada ya kudumu kwenye shughuli za ujambazi na wizi kwa miaka takriban arobaini, aliamua kuokoka baada ya kukutana na nguvu za Mungu ambazo zilimpa uwezo wa kuimba Muziki wa injili .

Mwandishi wa BBC nchini Congo Byobe Malenga, alikutana naye , Chabusiku