Olimpiki kwa picha

Mpiga picha maarufu Elsa Garrison ni miongoni mwa timu ya Picha za mtandao wa Getty wa wapiga picha ambao watashiriki katika michezo ya Olimpiki ya mwaka huu mjini Rio kuanzia Agosti 5.Picha hizi ni miongoni mwa zile zilizochaguliwa na Garisson za michezo ya Olimpiki iliopita

Fanny Blankers-Koen (kulia) wa Uholanzi akimaliza katika nafasi ya kwanza katika mbio za 100 za akina dada wakati wa michezo ya London mwaka 1948

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Fanny Blankers-Koen (kulia) wa Uholanzi akimaliza katika nafasi ya kwanza katika mbio za 100 za akina dada wakati wa michezo ya London mwaka 1948
Timea Nagy of Hungary akisherehekea ushindi wake wa dhahabu katika mchezo wa Fewncing wakati wa michezo ya Olimpiki ya Athens mwaka 2004.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Timea Nagy of Hungary akisherehekea ushindi wake wa dhahabu katika mchezo wa Fewncing wakati wa michezo ya Olimpiki ya Athens mwaka 2004.
Laura Robson na Andy Murray wa Uingereza wakishindana dhidi ya Christopher Kas na Sabine Lisicki wa Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya mchuano wa tenisi wa wachezaji wawili kila upande katika michezo ya Olimpiki mjini London

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Laura Robson na Andy Murray wa Uingereza wakishindana dhidi ya Christopher Kas na Sabine Lisicki wa Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya mchuano wa tenisi wa wachezaji wawili kila upande katika michezo ya Olimpiki mjini London
Christina Loukas wa Marekani katika shindano la fainali za kuogelea upande wa wanawake katika michezo ya Olimpiki mjini London mwaka 2012

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Christina Loukas wa Marekani katika shindano la fainali za kuogelea upande wa wanawake katika michezo ya Olimpiki mjini London mwaka 2012
Bob Beamon wa Marekani avunja rekodi ya Long Jump katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 1968 mjini Mexico

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Bob Beamon wa Marekani avunja rekodi ya Long Jump katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 1968 mjini Mexico
Kikosi cha Red Arrows kinapita juu ya uwanja wa Olimpiki mjini London wakati wa sherehe za ufunguzi mwaka 2012

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kikosi cha Red Arrows kinapita juu ya uwanja wa Olimpiki mjini London wakati wa sherehe za ufunguzi mwaka 2012
Kocha Bela Karolyi ambeba mshindi wa medali ya dhahabu katika mchezo wa viungo wakati wa michezo ya Olimpiki ya mwaka 1996 mjini Atlanta Georgia baada ya mchezaji huyo kupata jereha

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kocha Bela Karolyi ambeba mshindi wa medali ya dhahabu katika mchezo wa viungo wakati wa michezo ya Olimpiki ya mwaka 1996 mjini Atlanta Georgia baada ya mchezaji huyo kupata jereha
Natalia Pereira wa Brazil asherehekea ushindi dhidi ya Urusi katika mchuano wa mpira wavu upande wa wanawake wakati robo fainali mjini London

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Natalia Pereira wa Brazil asherehekea ushindi dhidi ya Urusi katika mchuano wa mpira wavu upande wa wanawake wakati robo fainali mjini London
Usain Bolt wa Jamaica avunja rekodi kwa kukimbia mda wa sekunde 19.30 ili kushinda dhahabu katika mbio za wanaume za mita 200 katika uwanja wa kitaifa wakati wa siku 12 ya michezo ya Olimpiki mjini Beijing

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Usain Bolt wa Jamaica avunja rekodi kwa kukimbia mda wa sekunde 19.30 ili kushinda dhahabu katika mbio za wanaume za mita 200 katika uwanja wa kitaifa wakati wa siku 12 ya michezo ya Olimpiki mjini Beijing
Nikki Webster ni kituo kilichowavutia wengi wakati wa ufunguzi wa sherehe za michezo ya Sydney mwaka 2000

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Nikki Webster ni kituo kilichowavutia wengi wakati wa ufunguzi wa sherehe za michezo ya Sydney mwaka 2000