Pogba asaini mkataba na Amazon wa kubuni filamu ya maisha yake
Mshambuliaji nyota wa Manchester United Paul Pogba amesaini mkataba na Amazon Prime ili kubuni filamu ya safari ndefu ya maisha yake . Filamu hii itaangazia maisha yake uwanjani na nje ya uwanja na inatazamiwa kukamilika na kupeperushwa mwaka ujao. Je, ni nyota ngani pia ungependa aangaziwe? Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com
