Lady Gaga kuimba wimbo wa taifa kwa hafla ya kumuapisha Joe Biden

Maelezo ya sauti, Lady Gaga kuimba wimbo wa taifa kwa hafla ya kumuapisha Joe Biden

Lady Gaga na Jennifer Lopez watatumbuiza katika hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule Joe Biden. Gaga ataimba wimbo wa taifa katika sherehe hiyo tarehe 20 Januari naye Lopez, ambaye pia alimuunga mkono Bwana Biden mwaka jana wakati wa kampeni, ataimba nyimbo e kutumbuiza wageni watakaohudhuria.