Nyota Jesy Nelson hatohudhuria shughuli kadhaa za kimuziki.

Maelezo ya sauti, Nyota Jesy Nelson hatohudhuria shughuli kadhaa za kimuziki.

Jesy Nelson amejiondoa kwenye fainali ya kipindi cha mashindano ya muziki kinachojumuisha wanabendi cha Little Mix: The search : Jessy alitarajiwa kuungana na wenzake katika kipindi hicho cha mashindano cha BBC lakini msemaji wa kikundi hicho amesema afya yake ni dhaifu. Little Mix wenyewe wametamba kwa vibao mbali mbali ikiwemo Reggaeton Lento.