Uchaguzi Marekani: Vipi azma ya Kanye West kuwa rais?

Maelezo ya sauti, Uchaguzi Marekani: Vipi azma ya Kanye West kuwa rais?

Msanii wa nyimbo za Rap Kanye West, alikuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais Marekani. Kulingana na Dateline Kanye ameweza kujinyakulia kura 60,000 katika majimbo 12, na zaidi ya 10,000 zikiwa kutoka Tennessee. Miongoni mwa nyimbo za Kanye ni pamoja na ile aliyoimba na Rihanna na Sir. McCartney.