UEFA Champions League: Marcus Rashford atingia United 'hat-trick'

Maelezo ya sauti, UEFA Champions League: Marcus Rashford atingia United 'Hat Trick'

Mshambuliaji Marcus Rashford aliijipatia 'hat-trick' murua hapo jana wakati timu yake Manchester United ilipowakaribisha RB Leipzig Old Trafford kwenye shindano la Champions League. Raia huyo wa Uingereza aliingia mda baada ya dakika ya sitini na kufunga mabao hayo matatu kwa dakika kumi na sita…