US Open: Dominic Thiem kutoka Australia aibuka bingwa

Maelezo ya sauti, US Open: Dominic Thiem kutoka Australia aibuka bingwa

MuAstraliaDominic Thiem ameshinda taji la tenisi la wanaume la US Open kwa kumshinda Alexander Zverev katika mchuano uliojumuisha seti 5 uliochapwa ukumbini Flushing Meadows huko New York. Mechi hiyo ilichezwa bila mashabiki kwa sababu ya janga la corona, na ndipo Thiem alipojipatia Grand Slam yake ya kwanza.