Djokovic apigwa marufuku kuendelea kushiriki mchuano wa US Open

Maelezo ya sauti, Djokovic apigwa marufuku kuendelea kushiriki mchuano wa US Open

Nyota namba moja duniani wa Tenis, Novak Djokovic amebanduliwa kwenye michuano ya US Open raundi ya nne, baada ya kumtwaga na mpira wa tenis kwa bahati mbaya refa wa pembeni. Djokovic alikuwa anapigiwa chapuo kutwaa ubingwa wa michuano hiyo.