Harriet Agasiu ni mwalimu anaeuza barabarani Uganda

Maelezo ya sauti, Harriet Agasiu ni mwalimu anaeuza barabarani kwa ugumu wa kimaisha

Janga la corona pamoja na masharti yaliowekwa ya kutotoka nje nchini Uganda yamefanya shule nyingi na biashara kufungwa ili kudhibiti maradhi hayo.Mtazame Harriet Agasiu, mwalimu anaeuza mahindi barabarani akielezea changamoto zake za kimaisha kwenye tovuti ya BBC.