Mchezaji Paul Pogba atasalia Old Trafford kuchezea United

Maelezo ya sauti, Mchezaji Paul Pogba atasalia Old Trafford kuchezea United

Paul Pogba hatauzwa na Manchester United msimu huu wa joto na mazungumzo mapya ya mkataba yataanza hivi karibuni, anasema wakala wa mchezaji huyo. Pogba alijisajili na Manchester United kwa kitita cha pauni 89m kutoka Juventus mnamo 2016 .