Mwanamke afanyiwa upasuaji huku akitengeza vitafunio

Maelezo ya sauti, Mwanamke afanyiwa upasuaji huku akitengeza vitafunio

Baadhi ya wagonjwa wa operesheni ya ubongo wamekuwa wakicheza ala ya muziki ya violin au gita wakati wa upasuaji. Lakini mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 60 kutoka italia amewashangaza wengi pale alipotengeneza vitafunio huku akifanyiwa operesheni iliochukua masaa mawili na nusu,kuondoa uvimbe upande wa kushoto wa ubongo wake. Nini maoni yako kuhusu hili ? sema nasi bbc Swahili.