Ndugu wawili kutoka Ufaransa wapata dhahabu!

Maelezo ya sauti, Ndugu wawili kutoka Ufaransa wapata dhahabu!

Vijana wawili wenye umri wa miaka 10 wamepata vipande viwili vya dhahabu venye uzito kilo nzima kila moja na kuwekwa thamani ya dola elfu 43,800 kila kipande. Hii ni baada ya kuchokora mfuko wa marehemu bibi yao walipokuwa wanatafuta vitu vya kuchezea. Ama kweli akiba haiozi !