chloe alianguka kutoka gorafa ya 11 alipokuwa akicheza.

Maelezo ya sauti, chloe alianguka kutoka gorafa ya 11 alipokuwa akicheza.

Babu mmoja kutoka Marekani aliyeshatakiwa kwa kifo cha mjukuu wake ndani ya meli ya kifahari huko Puerto Rico amekiri kuwa na hatia. Salvatore Anello alishtakiwa mnamo Oktoba na mauaji yanayotokana na kutokuwa muangalifu,baada ya mjukuu wake aliekuwa na umri wa miezi 18 kuanguka kutoka kwa gorofa ya 11 alipokuwa akicheza kwenye meli hiyo. Salvatore amesema alidhani dirisha alilokuwa akichezea karibu nalo lilikua thabiti.