Mavazi ya hali ya juu ya watoto yapata umaarufu mkubwa Nigeria

Maelezo ya sauti, Mavazi ya hali ya juu ya watoto yapata umaarufu mkubwa Nigeria

Mavazi ya hali ya juu ya watoto yameanza kupata umaarufu mkubwa nchini Nigeria. Baadhi ya wazazi sasa wanatumia hela nyingi kuwavalisha watoto wao nguo za mitindo ya hali ya juu. Tembelea tovuti ya bbc.com kwa habari Zaidi.