Daktari aliyewadanganya wanawake kujichoma na umeme afungwa
Mtu aliyejifanya kuwa daktari ili kuwashawishi wanawake na wasichana kujiua wenyewe kwa kutumia nguvu za umeme amepewa kifungo cha miaka 11 huko Ujerumani. Mtu huyo, aliwapatia pesa waathiriwa kushiriki katika majaribio ya tiba bandia kwa lengo la kujitosheleza kwake kingono, upande wa mashtaka umesema. Nini maoni yako kuhusu ukatili aina hii? Wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facaebook, BBCSwahili
