Eminem ashtumiwa kwa wimbo wake mpya

Maelezo ya sauti, Eminem ashtumiwa kwa wimbo wake mpya

Wapinzani wakuu wa mwanamuziki Eminem The Courteeners wanaamini Rapa huyo "alivuka mpaka" kwa kurejelea shambulio la bomu la Manchester kwenye wimbo wake mpya wa Unaccomodating. Wengi Wamemkosoa Eminem akiwemo Meya wa Manchester Andy Burnham, kwa aya hiyo ambayo wameitaja kama “ya kuumiza" .