Mwanamfalme Harry na Meghan warudi kutoka Canada

Maelezo ya sauti, Mwanamfalme Harry na Meghan warudi kutoka Canada

Meghan Merkle mke wa mwanamfalme Harry amerudi Canada huku mjadala mkali kukiendela kuhusu maisha yake na mumewe katika familia ya kifalme. Sasa inasemekana malkia amewaamuru wafanyikazi wa familia hiyo watafute suluhu mwafaka baada ya wawili hao kujiondoa katika shughuli za kifalme.

Je, malkia anaweza kubadili uamuzi wa wanandoa hawa?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili